Facebook

Friday 18 September 2015

Mapokezi ya Dr.Magufuli katika Mji wa Chato.

5Tutakuwa tunakuletea picha za matukio yote katika kila kitakachokuwa kinaendelea.Kupitia hapa.

Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika link hii mara kwa mara uweze kujionea kila kitakachokuwa kinajiri.

Saa 11:50 JIONI

Jioni hii Dkt Magufuli amewasili jimbo la Chato akitokea Biharamulo. Septemba 20 atazungumza na wananchi wa hapa.

0 comments:

Post a Comment