Facebook

Saturday 19 September 2015

Dr.Magufuli aitingisha Biharamulo,aahidi kukuza pato la taifa kutoa huduma bora kwa jamii.

Mh.Magufuli ahidi kukuza pato la taifa ili serikali imudu kutoa huduma kwa jamii
Dr Magufuli ambaye amekuwa mkoani Kigoma akinadi sera za chama chake cha CCM na kuomba ridhaa ya watanzania kumpa kura ili aweze kuwa rais wa awamu ya tano.

Ameanza kampeni zake mkoani Kagera ambapo akizungumza na wananchi wa eneo la Biharamulo amewahakikishia kuwatumikia watanzania kwa uaminifu na uadilifu na kuahidi kufanya jitihada za kukuza pato la taifa ili serikali imudu kutoa huduma za kutosha na za uhakika kwa jamii ya watanzania.

0 comments:

Post a Comment