Tatizo la kimitambo limesababisha watu wengi kukosa kutumia huduma ya mtandao wa Skype.Ripoti kuhusu Skype kukumbwa na hitilafu zilianza mwendo wa saa tano za Afrika mashariki nchini Uingereza.
Katika taarifa yake,mmiliki wa Skype Microsoft amesema kuwa waligundua tatizo katika mitambo ya huduma hiyo ambayo inaonyesha iwapo kuna mtu anatumia huduma hiyo au la.
Tatizo hilo liliwazuia wanaotumia mtandao huo na hivyobasi kutoweza kupiga simu licha ya kwamba wapo mtandaoni.
Vilevile,Microsoft imesema kuwa majina ya wanaotumia huduma hiyo ambao wameathiriwa yanaonyesha kwamba hawako katika mtandao na hivyobasi kutoweza kuwapigia simu.
Wateja wengi wa Skype kutoka nchini Uingereza,Australia na Japan wameripoti tatizo hilo.
Maafisa wa mtandao huo wamekiri kuwepo kwa tatizo hilo na kusema kuwa wanafanya kila njia kutatua tatizo hilo.
Tuesday, 22 September 2015
Mtandao wa Skype wakumbwa na tatizo.
Related Posts:
Jifunze namna ya kutumia 'torrents' kwa ufasaha zaidi katika Computer yako. Leo Ndugu zetu tunajifunza kidogo juu ya Torrents, Unajua ni nini Hii, Kazi zake, Uwezo wake, Namna ya Kutumia, Jinsi ya kuepuka Viruses...Karibu Torrents ni meta search engine ambayo huwezesha mtumiaji wa search … Read More
How to Search a person or anything by using IMAGE search functionality. Jifunze namna ya kutafuta MTU, KAMPUNI, SHIRIKA, TAASISI, VIKUNDI ama kitu chochote kwa kutumia picha ambayo inahusiana na mtu, kikundi ama kampuni/shirika husika. Nikupe mfano mmoja, wewe umeambiwa utafute Njia za … Read More
Hali ni tete Chuo Kikuu Dar Es Salaam,Masomo yahairishwa,Wanafunzi waandamana wakidai fedha za kujikimu.Hapo jana BantuTZ.com tuliripoti kuhusiana na mgomo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu hapo jama usiku kwa wale wanaoishi 'Mabibo Hostel'. Lakini muda huu mgomo huo umehamia katika eneo la Chuo Kikuu Cha DSM. Matamko ya viongozi wa S… Read More
Wanafunzi wa Chuo Kikuu DSM wanaokaa Mabibo Hostel waamua kugoma baada ya kucheleweshewa pesa za kujikimu "Boom"BantuTz BREAKING NEWS Habari zilizotufikia BantuTz.com hivi punde ni kwamba wanafunzi wa chuo kikuu Dsm wanaoishi mabibo hostel wameamua kuandamana kisa kikiwa ni kucheleweshewa pesa zao za kujikimu kutoka kwa serikali. Sakat… Read More
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Jumatano,Mei 20. MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kup… Read More
0 comments:
Post a Comment