Bomu lililotegwa ndani ya gari limelipuka karibu na lango kuu la jumba la rais katika mji mkuu wa Mogadishu.
Takriban watu sita wamefariki,ikiwemo walinzi wa rais.Raia mmoja wa Uturuki pia aliuawa.
Wengine 10 waliripotiwa kujeruhiwa.
Mkutano kuhusu hali ya baadaye ya uchaguzi nchini humo umekuwa ukiendelea katika jumba hilo,lakini ulikuwa umeisha wakati wa mlipuko huo.
Wajumbe wengi waliripotiwa kuondoka katika eneo la jumba hilo.
Hoteli moja karibu na jumba hilo iliharibiwa.
Tuesday, 22 September 2015
Bomu laua watu 6 katika makao ya Rais Somalia.
Related Posts:
Waasi wauteka mji wa Nasir-Sudan Kusini Wanajeshi wa serikali ya Sudan kusini wapiga doria. Waasi nchini Sudan kusini wanasema kuwa wameuteka mji muhimu wa Nasir katika jimbo la upper Nile. Wana… Read More
Rais wa Nigeria amekutana na wazazi wa wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram. Hatimaye Rais Goodluck akutana na wazazi Baadhi ya wazazi ambao watoto wao walitekwa nyara Rais wa … Read More
Wachunguzi waanza kazi Ukraine,kuhsiana na ndege iliyoanguka. Treni yenye mabaki ya waathiriwa wa mkasa wa ndege ya Malysia nchini Ukraine Makubaliano ya kusitisha mapigano katika eneo ilipoanguka ndege ya Malaysia … Read More
Mapigano yaendelea Sudan Kusini Umoja wa mataifa umesema kumekuwepo kwa siku mbili za mapigano katika mji wa Nasir, Sudani ya Kusini. Msemaji wa Umoja wa matifa amesema vikosi vya waasi … Read More
Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya yavamiwa Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya pamoja na ile ya msemaji wa jeshi hilo imevamiwa na wanaharakati ambao wanaonekana kupinga ufisadi. "Nyote ambao mm… Read More
0 comments:
Post a Comment