Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeyapuuzia malalamiko kutoka
muungano wa Vyama vya upinzani(UKAWA) kuhusu kauli iliyotolewa na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Abdallah Bulembo kuwa “CCM
haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani”
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema kwa sasa kila chama kiko kwenye
kampeni kutafuta ushindi, kwa hiyo kuna baahi ya kauli zitatolewa kama
mbinu ya kutafuta ushindi.
Mwisho wa wiki Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliikosoa kauli ya
Bulembo, akasema kauli hiyo inaonyesha CCM hawataki kuachia madaraka kwa
amani. Mbowe aliilalamikia NEC kwa ukimya wakati kauli kama hizo za
kichochezi zinatolewa
Akijibu kauli a Mbowe Lubuva amesema kama kauli ya Bulembo ingekuwa ni
'hatutakubali matokeo' tume ingeingilia kwa sababu NEC imeshasema kuwa
kila chama kikubali matokeo.
Lubuva akaongezea na kusema mpaka sasa tume haina chochote cha kusema
kuhusu kauli ya Bulembo kwa sababu wameichukulia kama kauli ya kawaida
ya kikampeni.
Related Posts:
Paul Makonda awaita UKAWA watoto wa shetani na kagoma kufuta kauli.....................soma hapa..............................
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Paul Makonda,
jana aligoma kufuta kauli yake baada ya kuwaita viongozi wakuu wawili
wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa ni watoto wa shetani.
Akichangia bungeni, Makonda … Read More
Ili kunusuru bunge,Sitta aifuta UKAWA Zanzibar.........soma hapa..........
Wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) wakiweka kambi Zanzibar, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la
Katiba, Samuel Sitta jana naye alitumia siku nzima visiwani humo
akikutana na baadhi ya viongozi wa… Read More
Waisalamu na Maaskofu waungana kutetea rasimu ya Warioba.......................fuatilia hapa............
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania
imeungana na maaskofu mbalimbali kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba
kuheshimu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwa mujibu wa sheria na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba.
Pia, … Read More
Maaskofu watoa msimamo wao kuhusu katiba..............fuatilia hapa....................
Katika salama za pasaka viongozi wa dini
wa katoliki 32 wamesema maoni ya wananchi katika rasimu ndio msingi wa
katiba hivyo wamewataka wajumbe wa bunge la katiba wa yaheshimu kama
yalivyo wasilishwa na jaji wario… Read More
Maige apinga serikali tatu,adai itakuwa maajabu ya dunia .......................fuatilia hapa.............
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Almas Maige
amesema endapo wajumbe wa Bunge hilo watapitisha muundo wa Serikali
tatu, nchi itaingia katika kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness Book
of Records.
“Hili litakuwa shirik… Read More
0 comments:
Post a Comment