Facebook

Friday 18 September 2015

Lowassa aahidi kuweka kipaumbele katika utoaji wa Elimu ya Kilimo.

Mgombea urais wa vyama vinavyounda UKAWA Mh Edwad Lowassa amesema akichaguliwa kuwa Rais atahakikisha kuwa kipaumbele cha elimu pia kinatolewa kwa wakulima wafugaji na makundi mengine hatua itakayowawezesha kutekeleza majukumu yao kwa tija na kupokea teknolojia za kisasa.

0 comments:

Post a Comment