Sunday, 20 April 2014
Busara za Nyerere na Karume hakuna wa kuziendeleza...................??????
Mwl Nyerere na Sheikh Karume wakinywa Fanta bariiidi tena kwa mrija.....Hii ni kutokana na uzalendo waliokuwa nao waasisi hawa wa muunagano bila kujikweza wala kujilimbikizia mali tabia inayofanywa na viongozi wa sasa wenye uchu wa madaraka na tamaa ya Pesa.Hatimaye wanailimbikiza nchi madeni na hasara kitu ambacho kitasababisha mzigo mkubwa kwa kizazi kijacho na kuongezeka kwa umaskini
Related Posts:
Mabadiliko ya Uelekeo wa Barabara katikati ya Jiji la Dar Es Salaam Kuanzia 28/04/2014.....soma hapa... MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TARE… Read More
Mr.Nice aweka wazi sababu zalizomfanya afulie .......soma hapa alichokisema....... Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, leo hii afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake kimuziki, katika moja ya interview Mr.Nice alidai kuwa hajui ni nini haswa kilichoto… Read More
Rais Mugabe akemea Ushoga Zimbabwe.....soma hapa... Rais Robert Mugabe Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametishia kuwafukuza kutoka nchini humo wanadiplomasia wanaopigia debe mapenzi ya jinsia moja. Katika hotuba yake ya sherehe za kuadhimisha uhuru wa nchi hiyo, Mu… Read More
Je wajua mionzi ya simu inaweza kusababisha kuzaa mtoto asiyekuwa na akili na mtukutu?????.......soma hapa...... MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti umeeleza.Utafiti huo umetaja madhara mengine ya mionzi ya simu za mkononi kuwa ni uharibifu wa manii, … Read More
Jifunze:Yafahamu Madhara Yatokanayo na Uvutaji wa Sigara HATARI KWA WATU WOTE WANAOVUTA SIGARA Kwa picha hii unaweza kuona upande wa kushoto mapafu ya mtu ambaye havuti sigara,na kwa upande wa kulia unaweza… Read More
0 comments:
Post a Comment