Sunday, 20 April 2014
Henry Kilewo atupia mtandaoni chat ya Whatsapp ya Ridhiwani na Jerry Slaa wakimponda Lowasa.............fuatilia hapa....................
Kwenye Ukarasa wa Facebook wa Henry Kilewo leo asubuhi nimekutana na hili:
"Muoneni huyu anawaza kuwa Rais baada ya kupewa ubunge.... never ever... RZ1 AMSHAMBULIA LOWASSA
RZ1 Jakaya Mrisho Kikwete, amemshambulia Edward Lowassa na kumuita mlevi na kamwe hataweza kuwa rais wa Tanzania baada ya baba yake, Jakaya Kikwete. Katika mazungumzo yake kwa njia ya Whatsapp kati yake na Jerry Slaa, meya wa Manispaa ya Ilala, Ridhiwani anarejea kauli yake ya miaka mingi kwamba, "Lowassa akiingia Ikulu, mimi nitahama nchi.
"Ukifuatilia kwa makini maelezo haya, utaweza kubaini mapema kuwa Lowassa anapigwa vita na Kikwete mwenyewe; Ridhiwani ni zumari la Kikwete katika mapambano kati ya Lowassa na yeye.RZ1 anafika mbali zaidi kwa kusema, mgogoro kati ya Zitto Kabwe na chama chake, umesababisha na Mwigulu kupandikiza watu wao ndani ya chama hicho. Kutokana na umuhimu wa hiki ambacho amekieleza, nimeona ni vema niweke hapa MF ili watu wajadili." Henry Kilewo
Related Posts:
MBOWE Mnatuhalibia Chama, Chadema Inazidi Kupoteza Mvuto Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr… Read More
Wabunge waumbuana kupokea rushwa Bungeni Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), amewaumbua wabunge wenzake kuwa wanapeana na kuchukua rushwa ndani ya Bunge. Suzan aliyasema hayo juzi jioni wakati akichangia katika mkutano wa Chama… Read More
Bajeti yampeleka Kikwete Dodoma, ataraji kukutana kwanza na wawakilishi Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili Dodoma keshokutwa, ikiwa ni siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15. Habari zilizopatikana jana zinasema Rais ataong… Read More
Kashfa nzito Nchini zilizoigharimu nchi na Kuitia aibu..... Dar es Salaam. Serikali imepoteza zaidi ya Sh362.9 bilioni kutokana na baadhi ya kashfa kubwa za ufisadi na operesheni mbalimbali zilizoligharimu taifa tangu uhuru. Uchunguzi wa mtandao huu umebaini taifa ku… Read More
Taifa Stars yajiweka katika nafasi mbaya kufuzu fainali za Mataifa Huru ya Afrika. Taifa Stars leo wamejiweka pagumu kufuzu kuingia Hatua ya Makundi ya kusaka nafasi za kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2015, huko Morocco Mwakani, baada kutoka Sare 2-2 na Msumbiji kwe… Read More
0 comments:
Post a Comment