ZILE
mbio kali za kusaka Bingwa wa La Liga huko Spain zinaendelea Wikiendi
hii na Vinara Atletico Madrid watacheza Jumapili Ugenini na Valencia.
Pia, Siku hiyo ya Jumapili, Barcelona, ambao wako Pointi 4 nyuma ya Atletico, watakuwa Ugenini kuivaa Villareal.
Nao Real Madrid, wenye Mechi 1 mkononi
na ambao wako Nafasi ya Tatu, Pointi 2 nyuma ya Barcelona, watacheza
Jumamosi wakiwa kwao Santiago Bernabeu kwa kuivaa Osasuna.
LA LIGA RATIBA:
Ijumaa Aprili 25
Elche CF v Levante
Jumamosi Aprili 26
Granada CF v Rayo Vallecano
Getafe CF v Malaga CF
Real Madrid CF v Osasuna
Real Betis v Real Sociedad
Jumapili Aprili 27
RCD Espanyol v UD Almeria
Valencia v Atletico de Madrid
Athletic de Bilbao v Sevilla FC
Villarreal CF v FC Barcelona
Jumatatu Aprili 28
Celta de Vigo v Real Valladolid
0 comments:
Post a Comment