Monday, 14 April 2014
TAHADHARI.!! HII NDIYO "PERFUM" YENYE SUMU INAYOWEZA KUTOA UHAI WAKO UKIITUMIA..!!
Kituo kikubwa cha habari chini imetangaza kuwa imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua
nchini :-
Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile katika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi
nchini Oman.
Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya.
Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua,
nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kua athari yake
haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali
inachukua siku 3-4 na inaweza kua ni kifo cha ghafla.
Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana.
0 comments:
Post a Comment