Monday, 14 April 2014
AJALI YA KUTISHA YATOKEA MAKONGO
Leo hii mida ya asubuhi ajali mbaya sana imetokea eneo la Lugalo,Makongo.
Baada ya magari kusimamishwa, kuruhusu wanafunzi waweze kuvuka barabara ghafla Lori lilishindwa kusimama kutokana na spidi iliyokuwa nayo hivyo kusababisha kwenda kingo za barabara na kuliangukia gari ndogo lililokuwa pembeni aina ya Toyota Cresta ''GX100''
0 comments:
Post a Comment