Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 26 September 2015

PROF KITILA MKUMBO:TADIP(TAASISI ILIYITOA UTAFITI JANA) NI N.G.O YA CHADEMA

Imebainika kuwa Zitto Kabwe alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Development Initiative (TADIP) kabla hajaondoka chadema. Kwa mujibu wa Prof. Kitila Mkumbo, "...TADIP is chadema's NGO. Zitto was once a Director" Zitto wa CHADEMA amefanya kazi hiyo ndani ya taasisi hiyo, malengo yake yakiwa ni...

Thursday, 24 September 2015

MAFAO(PENSHENI) YA BASTIAN SCHWEISTEIGER YANAPO FANYA KAZI SAHIHI MANCHESTER UNITED.

Msemo mmoja kutoka kwenye maandiko matakatifu au wakati mwingine hata mitaani unasema kila mwanaume atakula kwa jasho lake. Ndio,ni kweli kila mbuzi atakula kutokana na urefu wa kamba yake na kila mtu anavuna kile alichokipanda. Mara nyingi tunashuhudia wazee wastaafu wa mashirika fulani ya Serikali au binafsi wakipokea mafao yao ya kazi waliyofanya kipindi cha nyuma. Bastian Schweisteiger sasa ana...

Akamatwa kwa kuhifadhi sehemu za siri

Maafisa wa polisi nchini Afrika Kusini wameomba kupewahabari zaidi baada ya kumkamata raia mmoja wa Denmark kwa madai ya kuhifadhi sehemu za siri za wanawake 21 katika jokovu. Peter Fredekrisen,ambaye anamiliki maduka mawili ya bunduki mjini Bloemfontein anakabiliwa na mashtaka ikiwemo unyanyasaji wa...

AKAMATWA NA VIUNGO VYA BINADAMU SINGIDA

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi mmoja wa mkoa wa wilaya ya Igunga, Tabora kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya binadamu na nyara za serikali vikiwemo vipande viwili vya fuvu la binadamu, ngozi ya chatu, vipande vya ngozi ya simba na chupa tatu za mafuta ya samba. ...

Ney Wa Mitego:Wasanii kukashifu viongozi itakuja kutu-Cost.

Zikiwa zimebakia siku 31 kuelekea uchaguzi mkuu, msanii Nay wa Mitego amendika hivii; "Wasanii tubaki kua wahamasishaji tu!Kuanza kukashfu Viongozi utadhani labda nawewe umekua mwana Siasa au Mgombea itakuja kutu Cost baadae. Hua najiuliza cjui wanalipwa shiling ngapi maana wanasahau wao ni wasanii...

Barcelona yapokea kichapo La-Liga.

Barcelona walipokezwa kichapo chao kikubwa zaidi La Liga wakiwa chini ya Luis Enrique baada ya kulazwa 4-1 na Celta Vigo Jumatano. Kushindwa huko kulifikisha kikomo mapema rekodi yao ya kushinda mechi zao zote msimu huu. Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Iago Aspas alifunga mawili baada ya Nolito...

TFF YAPIGA MARUFUKU ITIKADI ZA KISIASA KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA

Shirikisho la soka nchini Tanzania limepiga marufuku kuvaa jezi ama mavazi yenye itikadi ya vyama vya siasa kwa mashabiki wanaotarajia kuona mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara baina ya Simba na Yanga Jumamosi Septemba 26 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini hii leo Afisa...

Magari yalioibwa Uingereza yapatikana Uganda

Wapelelezi waliokuwa wakilitafuta gari moja aina la Lexus lililoibwa mjini London nchini Uingereza wamelipata nchini Uganda. Gari hilo lilikuwa na kifaa kinachoonyesha liliko. Walipolipata nchini Uganda ,lilikuwa miongoni mwa magari 28 ya kifahari kutoka Uingereza yenye thamani ya zaidi ya pauni milioni...

Viongozi wa Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya

Baadhi ya viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara. Walimu wamekuwa mgomoni tangu kufunguliwa kwa muhula wa tatu na Serikali ilifunga shule zote za umma Jumatatu. Mrengo wa Coalition for Reforms and Democracy...

NINACHOAMINI MAESTRO:MATARAJIO NA UHALISIA WA SEPTEMBER 26. SIMNA SC vs YANGA.

Na: Ayoub Hinjo(Ayo's Mata Maestro)  September 26 ni siku ambayo kila shabiki na mpenzi wa mpira hapa nchi ameiweka kwenye kichwa chake. Ni siku ambayo imejaa matarajio kuliko uhalisia wa tukio lenyewe. Ni siku ambayo Tanzania itasimama kwa dakika 90 kushuhudia nyasi za taifa zikiwaka moto. ...

Man United yaibuka na Ushindi mnono kombe la Ligi.

Manchester United imepata ushindi wa mteremko wa mabao 3-0 pale ilipomenyana na Ipswich Town katika mchezo wa kombe la ligi. Mabao ya Rooney,Andreas Pereira na Anton Martial yalitosha kuwapa ushindi huo Man U. Katika michezo mingine Arsenal waliichabanga Totenham 2-1, Liverpool wakipata ushindi wa matuta wa 3-2 dhidi ya Carlisle. Wakati huohuo ligi kuu ya soka ya nchini Hispania,La Liga iliendelea...

Bei za viingilio Simba vs Yanga.

Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ni shilingi elfu saba (7,000). Katika mchezo huo kiingilio cha juu kitakua ni shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa viti vya VIP A, Elfu Ishirini (20,000) kwa viti vya VIP B & C, huku kiingilio cha shilingi...

Wednesday, 23 September 2015

Papa awasili Marekani apokewa na Obama

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Marekani katika siku ya kwanza ya ziara ya kihistoria nchini humo ambapo amelakiwa na Rais wa nchi hiyo Barack Obama. Papa Francis aliwasili kwenye uwanja wa ndege wa Andrew Air Force Base kutoka nchini Cuba. Huku Marekani ikiwa na zaidi...

Tuesday, 22 September 2015

Wanasayansi watengeneza figo maabara.

Je una matatizo ya figo ? Ikiwa jibu lako ni ndiyo kuwa na subira, maanake hivi karibuni figo zilizoundwa kwenye viwanda na maabara vitakuwepo kuwasaidia. Nafahamu kuwa waganga wengi wamewaahidi tiba lakini hii sio hekaya tu za abuanuasi la. Ni ukweli mtupu . Wanasayansi wanakaribia kuunda figo zitakazo...

John Terry kurejea kikosini katika kombe la Capital One.

Kapteni wa Chelsea, John Terry alikosa michezo miwili ya mabingwa watetezi wa Premier League kwa kuwekwa benchi na kocha wake Jose Mourinho. Lakini habari njema kuwa anaweza kuanza kucheza Jumatano katika kombe la Capital One. Unaonaje maamuzi ya Mourinho kumuweka benchi yana faida ama hasara kwa...

Hector Bellerin kusalia Arsenal licha ya kuwindwa na Barcelona,

Mchezaji Hector Bellerin amebainisha kiu yake ya kuendelea kubaki Arsenal kwa muda mrefu. Beki huyo alijiunga na Gunners akitoka timu ya vijana ya Barcelona La Masia mwaka 2011, na amefuta dhana ya kumfuata mchezaji mwenzake aliyepita Arsenal , Cesc Fabregas aliyerudi Nou Camp kwa muda mchache kabla...

Simba vs Yanga Sc kupigwa Jumamosi Uwanja wa taifa.

Mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga Sc na Simba kuchezwa Jumamosi,Septemba 26, uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Nani kuibuka mshindi kati ya miamba hii ya soka,Acha maoni yako hapa chi...

Ferguson afunguka kuhusiana na mambo yaliyokuwa nyuma ya pazia katika utawala wake Man United.

1.Fergie anakiri kuwa kabla hata Man City hawajamnyemelea Aguero,Atletico waliiambia Man United itoe £35m kumpata Aguero lakin Fergie aliona nyingi na baadae akaenda Man City kwa £38m coz walikuwa desperate. 2.Fergie anasema kwa mara ya kwanza waliambiwa na scouts kuna wonderkid aitwae Muller huko...

Bracelona yammezea mate Coutinho.

Timu ya Barcelona imeongeza kasi kasi ya kutaka kumhamisha Nou Camp mchezaji wa kimataifa wa Kibrazil anayekipiga Liverpool, Philippe Coutinho. Unadhani kwa mwenendo wa timu yetu ni bora Coutinho aondoke ama abaki apambane? Acha maoni hapa chi...

Ozil:Msituhukumu msimu bado haujaisha.

 "Muda mwingine mambo hayaendi kama mlivyopanga, tumeharibu mechi mbili za karibuni, sasa tunajipanga kutofanya makosa, msituhukumu bado msimu ni mchanga na ni mapema mno kupoteza imani na ti...

Walcott mbioni kujiunga Barcelona.

Mshambuliaji wa Arsenal,Theo Walcott anaweza kujiunga na mabingwa wa La Liga timu na Champions League timu ya Barcelona, Miamba ya soka hiyo ya Hispania inafuatilia kwa ukaribu maendeleo ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Engla...

Lupita Nyong'o alamba dili lingine

Ndani ya uhusika wake katika filamu huyo Lupita atavaa uhusika akitambulika kama Raksha ambayo taarifa zaidi ni kwamba filamu itaingia rasmi sokoni mwezi Aprili mwaka 2016, itahusisha pia mastaa wengine wakubwa kutoka Hollywood akiwepo Idris Alba, Scarlett Johansson , Christopher Walken...

Anthony Martial amzawadia mtoto wake tuzo ya mchezaji bora wa mechi

Mke wa Anthony Martial wa Manchester United, Samatha, amepost picha hii kwenye Instagram, ya mtoto wao wa kike akiwa na tuzo ya mchezaji bora baada ya baba yake kupachika mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya Southampt...

Rais Kikwete akagua kituo cha Michezo cha Kidongo Chekundu kinachojengwa na Klabu ya Sunderland,

  Rais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na Mkurugenzi wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vija na kutoka Uingereza anayetambuliw3a na FIFA ambaye atakuwa mkufunzi Mkuu katika kituo hicho wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana...

NEC: Kauli ya Bulembo ni ya kawaida kipindi hichi cha Kampeni

  Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeyapuuzia malalamiko kutoka muungano wa Vyama vya upinzani(UKAWA) kuhusu kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Abdallah Bulembo kuwa “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema kwa sasa kila chama...

Utafiti TWAWEZA wambeba Dr.J.P Mgaufuli uchaguzi 2015

Utafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti ya TWAWEZA umeonesha kuwa endapo uchaguzi ungefanyika mwezi mmoja uliopita, mgombea urais wa CCM John Magufuli angepata ushindi kwa asilimia 65 wakati mgombea urais wa CHADEMA Edward Lowassa angefuatia kwa kupata asilimia 25. Matokeo ya utafiti huo yametolewa...

Makanisa matatu ya kilokole yachomwa moto Bukoba.

Makanisa matatu ya dhehebu la Kipentekoste yaliyopo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, yameteketezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiofahamika. ...

Msanii Emmanuel Mbasha apiga magoti akilia baaada ya kuachiwa huru katika kesi ya Ubakaji.

Msanii wa muziki wa Injili, Emanuel Mbasha akiwa amepiga magoti akilia hapo jana baada ya kuachiwa huru katika kesi ya ubakaji iliyokuwa inamkabili kwenye mahakama ya wilaya ya ilala. ...

VIDEO:Dr.J.P.Magufuli apiga 'Push-Up' kabla ya kuwahutubia Wananchi wa Misenyi-Kagera.

Katika hali ambayo si ya kutarajia Mgombea wa Urais kwa kitu ya Chama Cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli alipiga "PUSH UP" kabla ya kuwahutubia wananchi wa wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera asubuhi ya leo. Angalia video ikimuonyesha Dr.John Pombe Magufuli akipiga "Push-Up" Bofya hapa-->; DR.MAGUFULI...

Panya wasababisha kifo 'Jela ya Mandela'

Watu karibu 4,000 wameondolewa kutoka jela ya Pollsmoor nchini Afrika Kusini baada ya panya wengi kuvamia gereza hilo na kusababisha kifo cha mfungwa mmoja. Kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Nelson Mandela aliwahi kufungwa katika gereza hilo. "Tumekuwa tukipuliza dawa, lakini kwa sasa, tumelazimika kuwahamisha...

" Game of Thrones" yajinyakulia tuzo kubwa Marekani.

Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani. Kipindi cha Game of Thrones, kimenyakua matuzo mengi zaidi ikiwemo makala bora zaidi. Viola Davis naye ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kupata ushindi wa muigizaji bora...

Ahukumiwa kifungo kwa maoni ya Uchochezi Facebook.

Mahakama ya Singapore imemuhukumu muuguzi mmoja kutoka nchini Ufilipino kifungo cha miezi minne kwa kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu taifa hilo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook. Ello Ed Mundsel Bello ambaye amekuwa akifanya kazi nchini Singapore aliandika kwamba raia wa taifa hilo hawako huru. Alishtakiwa...

Mtandao wa Skype wakumbwa na tatizo.

Tatizo la kimitambo limesababisha watu wengi kukosa kutumia huduma ya mtandao wa Skype.Ripoti kuhusu Skype kukumbwa na hitilafu zilianza mwendo wa saa tano za Afrika mashariki nchini Uingereza. Katika taarifa yake,mmiliki wa Skype Microsoft amesema kuwa waligundua tatizo katika mitambo ya huduma hiyo...

Costa na Gabriel washtakiwa na FA.

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa madai ya kutaka kuzua ghasia ambayo hayakuonekana na maafisa wa mechi hiyo lakini ambayo yalinaswa katika ukanda wa video. Mshambuliaji huyo alihusishwa katika kisa na beki wa Arsenal Laurent Koscielny katika dakika ya 43 ya mechi. Mchezaji huyo ana...

kampuni ya magari ya Volkswagen yaomba msamaha kwa Uchafuzi wa Mazingira.

Mkurugenzi mkuu wa  baada ya wasanifu nchini Marekani kusema baadhi ya magari yake yamekuwa yakichafua mazingira. ''Naomba msamaha mimi mwenyewe kwamba tumevunja heshima kwa wateja wetu na umma kwa jumla'',alisema Winterkorn. Ameanzisha uchunguzi dhidi ya kifaa kilichowekwa katika magari hayo ili...

Bomu laua watu 6 katika makao ya Rais Somalia.

Bomu lililotegwa ndani ya gari limelipuka karibu na lango kuu la jumba la rais katika mji mkuu wa Mogadishu. Takriban watu sita wamefariki,ikiwemo walinzi wa rais.Raia mmoja wa Uturuki pia aliuawa. Wengine 10 waliripotiwa kujeruhiwa. Mkutano kuhusu hali ya baadaye ya uchaguzi nchini humo umekuwa ukiendelea...

Mgombea Urais ajitoa katika kinyanganyiro baada ya kufanya vibaya katika midahalo

Scott Walker, ambaye ni miongoni wagombea waliokuwa wakiwania kuteuliwa kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho. Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi...

Monday, 21 September 2015

Mabasi ya mwendokasi 138 yawasili Dar es Salaam.

Mabasi 138 yatayotumika katika mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam huku mkuu wa mkoa huo Said Meck Sadick akisema nauli watakayotozwa watu watakaotumia usafiri huo itakuwa katika kiwango ambacho watumiaji wake wanamudu kuilipa. ...

Mh.Lowassa alitikisa tena Jiji la Dar es Salaam.

Mgombea urais wa Chadema kupitia UKAWA Mh.Lowasa atikisa jijini Dar es Salaam. Mgombea urais wa UKAWA Edward lowassa Katika mikutano mikubwa ya hadhara aliyoifanya kwa nyakati tofauti na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa jijini Dar es Salaam amesema serikali yake ya awamu ya tano itajikita katika kuhakikisha...