
Mshambuliaji kijana wa West Ham,Dylan Tombides amefariki leo kwa ugonjwa wa kansa. Kijana huyo wa miaka 20 kutoka Australia alijumuishwa kikosi cha kwanza miaka 2 iliyopita.
Pumzika kwa amani,Tombides.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari za kina na zenye uhakika zaidi
0 comments:
Post a Comment