Scott Walker, ambaye ni miongoni wagombea waliokuwa wakiwania kuteuliwa kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho.
Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka atakayekabiliana na Donulkd Trump.
Mgombea huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka baada ya kufanya vibaya katika midahalo. Scott Walker, mmojawapo wa wagombea watarajiwa wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho.
Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka atakayekabiliana na Donulkd Trump.
Mgombea huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka baada ya kufanya vibaya katika midahalo.
Tuesday, 22 September 2015
Mgombea Urais ajitoa katika kinyanganyiro baada ya kufanya vibaya katika midahalo
Related Posts:
Majanga tena.....6 wauawa katika mlipuko Nigeria Mlipuko wa bomu Nigeria Bomu lililolipuka katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria limewaua watu 6 na kuwajeruhi wengine wengi. Shambulio… Read More
Sudan Kusini inakumbwa na tisho la njaa Pande zinazozozana nchini Sudan Kusini zilitia saini mkataba wa kusitisha vita Rais wa Sudan kusini Salva Kirr ameonya kuwa taifa lake linakabiliwa na u… Read More
Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pap… Read More
Njaa yaisukuma familia kula nyama ya paka Siyo rahisi kwa mtu ambaye anapata chakula kutwa mara tatu, kuamini kuwa kuna binadamu ambao wanaweza kuishi hata siku tatu bila kupata hata mlo mmoja. Hata hivyo ni ukweli usiopingika kuwa wakati unakula na ku… Read More
Mafuriko yakumba mataifa ya Balkan Juhudi za kuyadhibiti mafuriko mabaya zaidi ambayo yamewaathiri maelfu ya raia wa mataifa ya Balkan zinaendelea. Mto wa Sava taya… Read More
Tutafika tu
ReplyDelete