Facebook

Saturday, 26 April 2014

Je !!! Unakijua alichokisema mpiga picha wa Diamond.........fuatilia hapa.....

 
"Siku zote napenda kujifunza vitu vipya,nisivyovifahm kuhakikisha navifahamu.
na kwa kila hatua ya ufahamu ninayoipiga sisahau kumkumbuka Diamond,mtu ambaye siku zote amekuwa akinitia moyo na kuwa naweza ,kutonikatisha tamaa ninaposhindwa ndiyo kumenifanya .sijasoma upigaj picha,leo ni mpiga picha wake mzuri kwa sababu yake..yeye ndie kanishape siku zote amekuwa akiniambia..HAKUNA ALOZALIWA ANAWEZA,sijasoma graphics,sikuwa nafaham chochote leo japo sijabobea but i can do anythn concerning graphics,iwe matangazo,iwe poster, ama kugeuza picha kuwa vile nitakavyo ONA PIC JUU.. KAMA HIYO...yote ni sababu yake.

He is ma best boss of all time"


Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata fununu na habari mbalimbali zinazowahusu wasanii

0 comments:

Post a Comment