Friday, 25 April 2014
Breaking News:Kocha wa zamani wa Barcelona, Tito Vilanova afariki dunia..........
Kocha wa zamani wa Barcelona Titto Vilanova aliyestaafu baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kansa kwa muda mrefu leo hii amefariki dunia akiwa na miaka 45,
Ni majonzi makubwa kwa klabu yake ya Barcelona aliyoichezea na baadae kuja kuwa meneja wa kalabu hiyo baada ya kuondoka kwa Pep Guardiola.Alishikilia nafasi ya ukocha katika klabu hiyo huku akiwa anasumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara.
Baadae aliamua kustaafu kutokana na maradhi ya kansa yaliyokuwa yanamsumbua.
Click hapa kusoma habari kamili inayohusu kifo cha Titto Vilanova
Endelea kutembela katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za michezo zilizojiri kwa muda muafaka....................
0 comments:
Post a Comment