Facebook

Saturday, 26 April 2014

Halima Kimwana:Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond"..........




DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.


Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).

“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond, nimechora tatuu ya jina lake mkononi kuonesha msisitizo, namkubali” alisema Halima.

0 comments:

Post a Comment