Facebook

Monday 24 November 2014

HII NDIO KAULI YA MWIGULU NCHEMBA KUHUSU SAKATA LA ESCROW!"

"CAG amesha sema zile pesa zilikua ni mali ya Umma sasa zikamatwe na walioiba wote wakamatwe na wafilisiwe"

"Nimeagiza yule mtumishi wa TRA iliyochini ya wizara yangu anayedaiwa kuchota bil.1.9 Afukuzwe kazi na Afilisiwe"

"Hatuwezi kuendelea kufunga maskin,na kuwapa likizo viongozi wabadhilifu waendelee kutumia fedha za serikali,wakamatwe wote,watumishi na wanasiasa pia wafilisiwe na fedha zirudishwe serikalini.

"Ebu angalia watoto wa maskin zaid ya elfu arobain wamekosa mikopo,watu wanakufa sababu hakuna madawa hospitalin,wazabuni wanauziwa nyumba zao na benki sababu wanakosa hela ambazo wanaidai serikali kwa huduma walizotoa,walimu wanagoma wakidai fedha zao. Eti leo wezi tuwape adhabu ya kujiuzuru??!!" Tuwape likizo ya kutumia pesa walizo ziiba??!!! Hawa,wajamatwe na Wafilisiwe'"

0 comments:

Post a Comment