Facebook

Thursday 27 November 2014

Muangalie hapa Waziri wa Nishati na Madini,Prof.Muhongo akiombewa kabla ya kwenda kuwasilisha ripoti.

Prof Muhongo akiombewa leo asubuhi na wachungaji pamoja na mashekhe!! Kabla ya kwenda kuwasilisha ripoti ya Wizara ya Nishati na madini inayosadikika kukumbwa na wimbi la ufisadi.

0 comments:

Post a Comment