Mh John Mnyika Ameandika hiki katika akaunti yake ya twitter Ahadi ni deni; nikiifatilia ahadi ya Mhe.Rais ya kutatua kero ya maji jimboni Ubungo. #MajiDar (chanzo: Mwananchi)
Ben Pol aelezea kuhusiana na "Video" yake mpya ya Sophia.Staa wa muziki Ben Pol, baada ya kuachia video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina Sophia, akiwa amekwenda tofauti na ahadi mbalimbali alizokuwa amekwishazitoa awali kuhusiana na video hiyo, amezungumzia utofauti alioamua kuto…Read More
Christina Milian afunguka juu ya uhusiano wake na Lil WayneMwanamuziki wa mtindo wa RnB
Christina Milan amethibitisha uvumi wa siku nyingi kwamba ana uhusiano
na msanii wa muziki wa Rap LilWayne ambaye pia anamwakilisha katika
kampuni yake ya Young Money Entertainment.
Wawili hao …Read More
0 comments:
Post a Comment