Mbunge Bukoba Mjini,Khamis Kagasheki baada ya kutoa maoni yake mbalimbali kuhusiana na sakata la Ufisadi lililoikumba serikali,Huku Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akinyooshewa kidole.
Hivi punde katika ukurasa wake wa Twitter ame-tweet hiki hapa chini.
Dhahiri akimnyooashea kidole Mtendaji mkuu wa Serikali.
Friday, 21 November 2014
Mh.Kagasheki amlipua Wazir Mkuu,Mizengo Pinda.
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 22 BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata … Read More
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza abakwa na kujeruhiwa vibaya Mwanza. Mwanafunzi wa kidato cha kwanza A katika shule ya sekondari Ntunduru wilayani Sengerema mkoani Mwanza (jina limehifadhiwa, 14), amejeruhiwa vibaya sehemu za siri na shingoni kutokana na kukabwa shingoni wakati akibakwa… Read More
KIJANA SANDE MWENYE KILO 250, AMEFARIKI DUNIA! Kijana Sande Mrema aliyekuwa na tatizo la kuwa na kilo nyingi zilizokuwa zikifikia 250 na umri wa miaka 25 aliyekuwa eneo la karakata katika moja ya Hoteli alipokuwa akiishi wakati akisubiri kupatikana kwa Ndege a… Read More
Apson awatumia kina Bashe kumchafua Membe na Jack Gotham.Nimeliona andiko la kumchafua Waziri Membe na Jack Gotham lakini nataka niwahakikishie tu kwamba halina chembe ya ukweli hata kidogo. 1. Ni kweli Jack Gotham yupo Dodoma na tumekuja pamoja kwenye msiba wa baba yake mdogo mare… Read More
Ukawa wafichua njama za kuizima IPTL bungeni Dodoma. Wakati kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikianza kupitia ripoti ya IPTL kuhusu uchunguzi wa ufisadi katika Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umedai kwamba kuna mik… Read More
0 comments:
Post a Comment