Facebook

Sunday 23 November 2014

Hussein Bashe amtetea Membe kuhusu Escrow.

Duh hii sasa kali,nadhani kuna Mpango
maaluum wa kupotosha Jambo la ESCROW na
matumizi Mabaya ya Technology haya,

Ingawa
simuungi Mkono MEMBE katika NDOTO yake
let's not make politics katika wizi huu
mkubwa wa Nchii hii,Katika Hili la Escrow
Membe anaonewa hakuna Proof wala
evidence yoyote inayo muimplicate Membe
Directly or Indirectly hii dili hayumo.

Msimuonee,let us be focused waliobenefit na
ESCROW wanajulikana Directly na walio
benefit INDIRECT wanajulikana. Kwa hili
Membe wanamuonea, It's good to be honest
katika mambo haya na kutokuruhusu
kuhamishwa katika Agenda.

0 comments:

Post a Comment