Facebook

Tuesday 25 November 2014

BABA MZAZI WA WASANII WA KUNDI LA P-SQUARE AFARIKI DUNIA.

Taarifa zilizotufikia BantuTz.com hivi punde ni kuwa P SQUARE PETER
and PAUL wamefiwa na baba yao mzazi MR
OKOYE ambae siku chache kabla ya mauti
kumfikia alifanyiwa operation ya goti na
kuonekana kuwa anaendelea vizuri

Lakini vyanzo vya habari vinasema siku ya jana
alidondoka akiwa anaelekea hospitali mjini
Lagos na kupoteza maisha.

RIP MR OKOYE

Endelea kutembelea www.bantutz.com tutakujuza kila kitakachokuwa kinatufikia.

0 comments:

Post a Comment