Facebook

Wednesday 26 November 2014

JORDIN SPARKS AMDISS VIBAYA JASON DERULO

Mwanzo story ya kuachana kwa couple hii iliwashtua sana watu,ambapo mengi yalisemwa,lakini sasa Jordin Spurks kaamua kufunguka na kumdiss Jason kwenye track mpya iitwayo "How about now"
Track hiyo ambayo ipo kwenye mixtape yake mpya iitwayo "Bye Felicia" Jordin amemdiss Jason na kuelezea mambo yaliyotokea kwenye mahusiano yao kipindi cha nyuma.Alifunguka kwa kusema alimuona jinsi Jason alivyokuwa akilewa sifa baada ya kujulikana zaidi kimataifa hivyo ilibidi azuie mambo yasifike mbali.Tazama alivyomdiss kwenye hii verse
"“Remember when you broke your neck

and I had to wash your back for you? Ugh.
Probably don’t remember half the sh-t that I did for you.

Always been mommy’s little angel
Then, once you blew up, head got big and you started changing.
Can’t believe all the things that you started saying.
Like I’m with you for your fame and your name. (What?)
That thought and your feature now setting up the game. (What?)
[…]
Asking for the things that you gave me.
Try to lock you in with a baby. (Ooh!)”


Imeandikwa na Samchris Swai

0 comments:

Post a Comment