Facebook

Saturday 22 November 2014

Watu 6 wamefariki kwa kupigwa na radi Songea-Ruvuma

Watu 6 wamekufa papo hapo na wengine
wawili kujeruhiwa vibaya baada ya kupigwa
na radi katika kijiji cha Madaba, wilaya ya
Songea mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia
leo.

Chanzo: Radio1 Sterio

0 comments:

Post a Comment