Facebook

Tuesday 25 November 2014

'AMUANIKA MTOTO KWENYE KAMBA BAADA YA KUJIKOJOLEA'

Ripota wetu kutoka Musoma,anatuarifu kwamba Bwana mmoja aliyefahamika kwa jina la Juma Oswad Mafuru, amekutwa akimuanika mtoto wake juani kwa sababu anajikojolea mara kwa mara.

Bwana Mafuru analalamika na kudai ya kwamba mke wake ambaye ni Mama wa mtoto huyo waliachana na aliachiwa yeye jukumu la kumlea mtoto.

Tutakujuza kila kitakachokuwa kinajiri kuhusiana na tukio hili la kinyama.

0 comments:

Post a Comment