Facebook

Friday 21 November 2014

Tazama picha mbalimbali zinazomuonyesha Waziri Membe akiwa katika mahafali ya kuwatunuku wahitimu wa Chio Kikuu cha Kampala-KIU Tanzania leo hii!

Rais mstaafu wa awamu ya pili ndugu Hassan Mwinyi akiwa pamoja na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe katika mahafali ya chuo kikuu cha kimataifa Kampala kampasi ya Dar es salaam leo hii!

Tembelea www.bantutz.com tutakuletea kila kinachojiri.

0 comments:

Post a Comment