Facebook

Saturday 22 November 2014

Mchungaji awaamuru wanawake ambao hawajaolewakatika wavua nguo na kuwabusu "makalio" wapate upako.

SIKU ZA MWISHO ZIMEFIKA.

Wakati dunia ikiendelea kustaajabu kwa mambo ya
"ajabu ajabu" kuhusu imani yanaendelea kujitokeza,
sasa imeonekana kuwa kila siku ni afadhali ya jana.

Mchungaji mmoja huko nchini Nigeria kwenye jimbo
la Niger Delta amewaagiza wanawake wa kanisa
lake ambao hawajaolewa na wanataka kuolewa
wavuo nguo zote na kubaki utupu ili aweze
kuwabusu katika "makalio" yao kupokea muujiza wa
kupata wanaume wa kuwaoa.

Mchungaji huyo wa kanisa la "King of kings
fellowship" aliwachukua wanawake hao hadi
kwenye ufukwe ambapo walivua nguo zote na
kubaki utupu kisha wakajipanga mstari ambapo
mchungaji huyo alikua akimpitia mmoja baada ya
mwingine na kumbusu makalio akidai kuwa ni upako wa kuwafanya wapate ndoa nzuri.

Mtandao wa CKN umeripoti  kama ifuatavyo

"He asked his female
members who are spinsters to a beach where they
were asked to undress and were kissed on their ass
as a sign for them to receive their prospective
husbands"

Endelea kutembelea www.bantutz com utapata taarifa mbalimbali kutoka kila kona ya dunia.

0 comments:

Post a Comment