Facebook

Saturday 22 November 2014

Arsenal vs Manchester United

Kuelekea mpambano wa Arsenal Vs
Manchester united kuna wachezaji wengi
wapya ambao watakuwa wanacheza mechi
hiyo kwa mara ya kwanza,Lakini kivutio
kikubwa kitakuwa kwa nyota wawili Alexis
Sanchez na Angel Di maria.

Nyota hao ambao
misimu kadhaa iliyopita walikuwa wakishiriki
mechi kubwa inayokutanisha vilabu Duniani Al
maarufu El Classico,Nyota hao wamejigawa
tena nchini Uingereza na kila
mmoja leo atataka kuonesha uwezo wake kwa
kuisaidia timu yake ishinde.

Di maria wa
Manchester united anaonekana ni mzuri zaidi
ya Sanchez kwenye upande wa kupika magoli
huku Sanchez akionekana mzuri zaidi kwenye
kufunga magoli zaidi ya Angel Di maria.

0 comments:

Post a Comment