Facebook

Wednesday 26 November 2014

BantuTz LIVESTREAMING:-ANGALIA MECHI ZOTE ZA LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE KATIKA SIMU,TABLET AU COMPUTER YAKO.

Angalia Mechi zote za UEFA CHAMPIONS LEAGUE

'LiveStreaming' kupitia Simu,Computer
au Tablet yako.
Utaangalia mechi hiyo bila kukwama au
kukatika kwa matangazo ya mechi hiyo hata
kidogo.

Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama
utatumia Computer ya aina yoyote ile.
Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au Airtel
kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel na 'Bila
Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo kwa
watumiaji wa Vodacom.

22:45 Atletico Madrid vs Olympiakos

22:45 Malmo FF vs Juventus

22:45 Basel vs Real Madrid

22:45 PFC Ludogorets Razgrad vs Liverpool

22:45 Bayer Leverkusen vs Monaco

22:45 Anderlecht vs Galatasaray

22:45 Arsenal vs Borussia Dortmund

Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment