Facebook

Tuesday, 18 November 2014

Messi afunguka kuhusu kuihama Barcelona.

Kuelekea mchezo wa usiku huu kati ya Argentine
vs Portugal Messi amezungumzia suala la
kuhama Barca na kusema:

'Ninafikiria kuwa na
mwaka mzuri na Barcelona na kushinda mataji.
Baada ya hapo tutaona kitakachojiri. Siku zote
nimekuwa nikisema ningependa kubaki hapa
lakini sio mara zote mambo huenda kama
unavyopanga."

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment