BantuTz
MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau
wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali
nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata
habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali.
Wednesday, 19 November 2014
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 19
Related Posts:
Mlipuko mkubwa watoke karibu na Bunge la Somalia Mlipuko mkubwa umetokea na milio ya risasi imeripotiwa karibu Bunge la Somalia wakati wabunge wakiwa katika kikao chao. Habari za awali z… Read More
Madereva taxi wa Sudani wapigwa marufuku kufanya kazi Sudani Kusini. Madereva wa taxi kutoka Sudan wanaofanya kazi Sudan Kusini wamekasirika baada ya raia wa kigeni kupigwa marufuku kufanya kazi. Wizara ya mambo ya ndani ilitoa tangazo wiki iliyopita, bila onyo lolote, kwa… Read More
Al-Shabab wapimpiga risasi mbunge mmoja Mogadishu Kundi la al-Shabab limesema limempiga risasi na kumuua mbunge mmoja maarufu mjini Mogadishu. Ahmed Mohamud Hayd aliuawa na watu waliokuwa ndani ya gari, wakati akitoka katika hoteli aliyofikia katika eneo linalo… Read More
Mugabe aingia "vitani" tena na Wazungu. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kutoa mashamba hayo kwa watu weusi. "Tunasema hapana kwa wazungu wanaomiliki ardhi yetu, lazima waondoke," Bwana Mugabe ame… Read More
Uwanja wa ndege wa Entebe-Uganda hatarini baada ya tishio kubwa. Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umetoa onyo ukisema kuna "tishio dhahiri ..kutoka kundi lisilojulikana" kushambulia uwanja wa ndege wa Entebbe. Onyo hilo limechapishwa kweye tovuti ya ubal… Read More
0 comments:
Post a Comment