Facebook

Wednesday 26 November 2014

"TWEETS" ZA WATU MASHUHURI NA TAASISI MBALIMBALI KUHUSIANA NA SAKATA LA ESCROW.

 Embedded image permalink


Mwenyekiti wa Bunge ametumia madaraka yake kuahirisha Bunge mpaka saa kumi na moja jioni. Ripoti ya Zitto(PAC) haikuanza kujadiliwa



Taarifa ya PAC kusomwa saa kumi na moja jioni Leo


: David Kafulila atumiwa ujumbe kuwa mwisho wa uhai wake leo, kesho ataongelea kaburini. MH NI KWELI HII??” Ni kweli


 
Teuzi za majaji zimekuwa zikifanywa kishkaji. Baadhi ya majaji wamekuwa watuhumiwa wa uhalifu, wengine wana elimu tata. Asante Baba Kikwete

millardayo.com@millardayo
#TZA Kutoka Bungeni Dodoma Mwenyekiti wa Bunge ameahirisha kikao mpaka saa11 jioni na kusema hajapokea taarifa ya mahakama kuzuia mjadala

 Tanzania Kwanza @Tanzania_Kwanza 
Kama kunaweza kuwa na Taarifa za intelijensia watu wataandamana na kuleta fujo,inashindikanaje kuwanasa wauaji,wezi,wahujumu uchumi?

Reginald Mengi@regmengi
Mwenyekiti wa Bunge ametumia madaraka yake kuahirisha Bunge mpaka saa kumi na moja jioni. Ripoti ya Zitto(PAC) haikuanza kujadiliwa

Raymond Nyamwihula@Nyamwihularay
"@ITVTANZANIA: #Habari M'Kiti wa Bunge Mussa Zungu Azzan amesema bunge halijapokea ripoti yeyote ya kusitisha majadiliano sakata la Escrow."

Kutoka mjengoni RT "@hkigwangalla: #EscrowSaga: Taarifa ya Kamati ya Uchunguzi sasa kusomwa saa 11 jioni."

Mwenyekiti wa Bunge Mussa Zungu Azzan amesema bado bunge halijapokea ripoti yeyote ya kusitisha majadiliano juu ya sakata la Escrow.

'Mh.Mwenyekiti naomba tusijate majina ya vyama..pia nasikia umeme wamekata Watanzania wanataka kusikia suala hili' - J.Nassari

Kafulila atumiwa ujumbe "Nadhani umeamua kifo kwa kutafuta sifa za kijinga,nakuhurumia sana maana hujui unapambana na nani"

: Taarifa ya Kamati ya Uchunguzi sasa kusomwa saa 11 jioni.

'Mwenyekiti niliwaambia bunge linatumika vibaya na mahakama' -

naomba mwenyezi mungu haki itendeke kaka, maana nasikia serikali+mahakama wanatumia mabavu report isomwe tu icjadiliwe

Kama kunaweza kuwa na Taarifa za intelijensia watu wataandamana na kuleta fujo,inashindikanaje kuwanasa wauaji,wezi,wahujumu uchumi?

 Endelea kufuatilia kila kinachojiri katika kikao cha Bunge-Dodoma,hapahapa BantuTz.com

0 comments:

Post a Comment