Facebook

Friday 21 November 2014

Mfaransa atangaza nia ya kugombea Urais FIFA,asisitiza haki kutendeka.

Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Kandanda duniani - FIFA, Jerome Champagne, amesema anatumai uchaguzi wa kumpata Rais mpya wa FIFA utaendeshwa kwa njia ya haki.

Mfaransa huyo ndiye mgombea pekee kufikia sasa kuthibitisha kuwa atamenyana na rais wa muda mrefu Sepp Blatter katika uchaguzi huo wa Mei 2015.

Chanzo:DW SPORTS

0 comments:

Post a Comment