Facebook

Sunday, 16 November 2014

Roboti kuchukua ajira za raia wa Uingeteza

Sio raia wa Australia pekee walio na wasiwasi
kuhusu kupotezi kazi zao kwa mitambo
inayojiendesha.

Zaidi ya thuluthi moja ya ajira
nchini Uingereza ziko katika hatari ya
kuchukuliwa na mitambo ya kujiendesha katika
kipindi cha miaka 20 ijayo kulingana na ripoti
ya Deloitte.

Utafiti huo umebaini kwamba ajira
ambazo watu hupata kipato cha chini kuna
uwezekano mkubwa zikachukuliwa na mitambo
hiyo ya Roboti ikilinganishwa na kazi zinazolipa
vizuri.

Baadhi ya ajira ambazo ziko katika tishio
la kuangamia ni kama vile za usaidizi wa afisi,
mauzo na huduma, usafiri, ujenzi, uchimbaji
na uzalishaji.

Related Posts:

  • Apple wazindua bidhaa mpya.Kampuni ya Apple imezindua saa ya kisasa - the Apple Watch - ambayo ni bidhaa yake mpya tangu iPad ya kwanza na tangu kifo cha mmoja wa waasisi wake Steve Jobs. Kifaa hicho huendesha programu tumishi (apps) na pia hufuatilia … Read More
  • MIFUPA YA DINOSARIA "GODZILLA" YAPATIKANA TANZANIAAina mpya ya dinosaria imetambuliwa kufuatia kupatikana kwa mifupa nchini Tanzania. Mabaki hayo ya dinosaria yaliyopewa jina la - Rukwatitan Bisepultus - yalipatikana katika korongo moja kwenye eneo la Rukwa, kusini magharibi… Read More
  • Sigara za Kielektroniki hatari kwa Afya yako. Watafiti wa afya kutoka Marekani wameonya matumizi ya sigara za kielektroniki zilizoandaliwa kuwasaidia wavutaji sigara kuacha uvutaji kwamba zinaweza … Read More
  • Matangazo tiba za asili yapigwa marufuku. Matangazo ya tiba za asili yanaelezwa kupotosha uma Baraza la Tiba za Asili na Tiba Mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari kwa kile kili… Read More
  • Nyangumi apatikana Mtwara.Mzoga wa samaki aina ya nyangumi Umepatikana katika pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara na kisha kuvutwa Kuelekea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya t… Read More

0 comments:

Post a Comment