Tuesday, 25 November 2014
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 25.
BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo.
Related Posts:
Zitto Kabwe aeleza Jinsi Kampuni ya PAP ilivyoichukua IPTL bure na kujichotea Dola za Marekani 128M kutoka BoTJinsi Kampuni ya Pan Africa Power Ltd (PAP) ilivyoichukua Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) bure na kujichotea Dola za Marekani 128 milioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) 1. Muhtasari KWA miaka ishirini sasa, wanasias… Read More
BRELA yapunguza muda wa kufanya kazi kuhimiza uanzishwaji wa makampuni nchini.Usajili wa jina la Biashara nchini umepunguzwa kuwa masaa nane (8) toka siku saba (7) kama zilivyokuwa awali katika taasisi ya BRELA. CEO Frank Kanyusi amedai hapo jana kuwa hii ni moja ya njia ya kuhamasisha uuaji na uanzish… Read More
Kijana auwawa akituhumiwa kwa ushirikina Rungwe-Mbeya.Habari ya kusikitisha kutoka Rungwe Mbeya inahusu kijana kuawa kwa hisia za ushirikina, ukiangalia sababu ya hisia hizi inasitikisha sana. MATUKIO ya kujichukulia sheria mikononi bado yanazidi kuyakumba baadhi ya maeneo mkoan… Read More
Vurugu makao makuu ya Polisi, waandishi wapigwa.Vurugu zimezuka jana asubuhi katika makao makuu ya jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, muda mfupi baada ya Mwenyekiti taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema, Freeman Mbowe, kuwasili kwa a… Read More
Kijana akamatwa akiunga kwa wizi mitambo ya Azam Tv na Zuku.Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha watu kuangalia matangazo … Read More
0 comments:
Post a Comment