Facebook

Thursday 27 November 2014

Diamond Platnumz ndani ya Jumba la Big Brother kesho.

 Tafadhali usikose kuangalia Big Brother Afrika kuanzia saa tano Asubuhi kesho, kijana wako Platnumz ntakuwa ndani ya nyumba nikizoza mawili matatu na washiriki....
( Jus wanted to tell you that...don't forget to watch your Favourite #Tvshow @BigBrotherAfrica coz your boy Platnumz Baby will be in da House from 11am with our beloved Housemates...) #TatizoNyota

Na hiki ndicho alichopost Diamond Platnum katika ukurasa wake wa Facebook kuhusiana na na uwepo wake kesho katika jumba la "Big Brother Africa" huko Afrika Kusini.

Tafadhali usikose kuangalia Big Brother Afrika kuanzia saa tano Asubuhi kesho, kijana wako Platnumz ntakuwa ndani ya nyumba nikizoza mawili matatu na washiriki....
( Jus wanted to tell you that...don't forget to watch your Favourite ‪#‎Tvshow‬ @BigBrotherAfrica coz your boy Platnumz Baby will be in da House from 11am with our beloved Housemates...) ‪#‎TatizoNyota‬

0 comments:

Post a Comment