Facebook

Wednesday 19 November 2014

HUYU HAPA NICKI MINAJ TENA KWENYE COVER YA COMPLEX

 
Rapper Nicki Minaj mwezi huu hapa tena ametokea kwenye cover ya Complex magazine huku akitarajiwa kuachia album yake mwez December.Katika jarida hilo Nicki ameelezea kuhusu matatizo anayokumbana nayo kwenye sekta ya fashion.
 
Reporter wa GQ alireport kuwa Nick ameshawahi kusinzia mara 4,katika interview na GQ,jambo linaloonesha amekuwa akikosa muda wa kutosha wa kulala.Pia aliongelea juu ya nyimbo zake kuwa na lugha ambayo sio nzuri na kuhusu kuanzisha familia miaka michache ijayo ingawa uhusiano wake na Safaree haueleweki.
 
Kuhusu single yake ya Anaconda Nicki alisema "I wanted to create a song that embraced curvy women. I wanted to be sexual but be playful with it. And I wanted it to be so melodic that even if you don’t understand English you could still go along with the melody and you would have no idea about all the raunchy sh-t I’m saying—I get a kick out of that. It was simple to write. I just created the melody and then I let the words happen. I started laughing when I said, “Boy toy named Troy.” [Laughs.] That whole song, I was just being dumb. It was a joke. My biggest thing was seeing how my girlfriends Sherika and Thembi were going to react. If they don’t like a song, they’ll be like, “No.” As soon as they walked in the studio, we were laughing and having fun. I thought, if we’re doing this, then everybody is going to have fun with it."
Imeandaliwa na Samchris Swai.

0 comments:

Post a Comment