Facebook

Wednesday 19 November 2014

Mwandishi nguli wa Gazeti la Mtanzania afariki dunia.

 
Taarifa zilizotufikia BantuTz hivi punde ni kwamba Mwandishi nguli INNOCENT MUNYUKU wa kampuni ya New Habari Cooperation  inayochapisha gazeti la Mtanzania amefariki dunia ghafla nyumbani kwake Rombo Kimara.

Chanzo cha kifo chake hadi hivi sasa BantuTz hatujakibaini ila tutakuletea taarifa kamili kuhusiana na kifo chake hivi punde.

Endelea kutembelea www.bantutz.com tutawataarifu kila kitakachokuwa kinajiri na kila taarifa tutakayokuwa tunapata kuhusiana na Msiba huo mkubwa

BantuTz.com inatoa pole kwa wale wote waliofikwa na Msiba huu.

0 comments:

Post a Comment