Facebook

Saturday 22 November 2014

BARUA YA BASHE NA SERUKAMBA KWA RAIS J.M KIKWETE

Barua kwa Jakaya Kikwete

Leo tunaomba tukuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, tunaomba tukupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai yameuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminifu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Baba while you are away ni watanzania wawili tu wamekuweka katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini nao ni Mzee Lowassa na Mzee Cornel Apson.......

Baba while you are away,Edo naye yupo Ujerumani katika matibabu.

Asante Baba kwa kutusikiliza,
Kwa niaba ya Mzee Edo,

Ni sisi wanao,
Hussein Bashe na Peter Serukamba.

0 comments:

Post a Comment