Facebook

Wednesday 19 November 2014

Kagasheki atoa yake ya moyoni kuhusiana na Ufisadi-IPTL

Baada ya kuendelea kugonga vichwa katika vyombo vya habari mbalimbali na katika mitandao ya kijamii.Hatimaye Balozi Kagasheki ameamua kutoa yake ya moyoni kuhusiana na sakata la IPTL linaloendelea kushika kasi kila kukicha.

Na hizi ni baadhi ya 'tweets' zake katika mtamdao wa twitter.

0 comments:

Post a Comment