Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 6 June 2015

WARAKA KWA WANAVYUO VIKUU TANZANIA KUHUSU KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KUSHIRIKI  KUPIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU OCTOBA 25/2015

Leo tarehe 5/6/2015, baadhi ya wanafunzi  kutoka vyuo vikuu tumeweza kuonana na m/kit wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Damian Lubuva.Ambayo ilikuwa ni makubaliano tuliyoyafanya juzi tarehe 3/06/2015 kuhusu kuonana nae. Madhumuni ya kuonana na m/kiti wa NEC ,ni kama ifuatavyo Moja ni kujua...

Wakuta chura ndani ya kopo wa tomato

Mtu na mkewe waliokuwa wakiandaa chakula cha mchana walipigwa na butwaa walipopata chura kilichokuwa kimekufa ndani ya mkebe wa tomato. Muhammad na Sanam Hussain waligundua hayo wakati bi Hussain alipokuwa akipika mchuzi katika nyumba yao huko Alum Rock mjini Birmigham. Bi Hussain ambaye ni mjamzito...

Henderson afurahia Brendan Rodgers kubaki Liverpool.

Kiungo Jordan Henderson amefurahia maamuzi ya uongozi kumbakisha kocha wa Liverpool Brendan Rodgers Kapteni huyo amesisitiza watamaliza msimu ujao kwa mafanikio na kuiletea heshima timu hiyo. Kocha Rodgers alikuwa na wakati mgumu baada ya matokeo yasiyofurahisha mwishoni mwa msimu na kushindwa kuwapa...

Falcao kutua Darajani

Mchezaji Radamel Falcao anayecheza kwa mkopo Old Trafford anataka kubaki kucheza Premier League. Mcolombia huyo ameshindwa kuishawishi Manchester United kumnunua jumla. Falcao amefunga magoli manne tu Old Trafford, mchezaji huyo anataka kuchezea Chelsea msimu huu.Uwepo wa Eden Hazard, Diego Costa,Oscar,...

Raheem Sterling kuelekea Man United.

  Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za uhamisho huo hususan kutokana na ushindani mkali uliopo kati ya klabu hizo mbili. Hatahivyo Liverpool imesema kuwa...

Angel Di Maria "Nabaki old Trafford

Mchezaji raia wa Argentina Angel di Maria amethibitisha kubaki Manchester United msimu ujao. Pamoja na tetesi za kujiunga PSG kwa ada ya ya Euro milioni 60. Di Maria amefunga magoli manne na kutoa pasi za magoli 12 kwa mashindano yo...

Mesut Ozil ajinyakulia tuzo Ujerumani.

Mchezaji nyota wa Arsenal Mesut Ozil ameshinda tuzo ya balozi wa mpira wa Ujerumani 2015. Mesut Ozil ametangazwa kuwa balozi wa mpira wa Ujerumani mapema wiki hii.Tuzo hii hutolewa kwa watu wanofanya kazi za kuitolea.Ozil, amesema tuzo hii ina mana kubwa kwa...

Rais wa Afrika Kusini ahusishwa kashfa ya rushwa FIFA.

Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa . Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni...

Simba yakaribia kumnasa mshambuliaji hatari kutoka Burundi.

SIMBA SC imekaribia kabisa kukamilisha usajili wa mchezaji mpya wa sita kuelekea msimu ujao, na huyo si mwingine bali mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Laudit Mavugo. Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Simba SC, Collins Frisch yuko mjini Bujumbura kukamilisha usajili wa mchezaji huyo na habari...

Xavi kuondoka Barca kwa heshima.

Wakati Xavi Harnandez,35, anajiandaa na kustaafu rasmi baada ya kuitumikia Barcelona kwa miaka 17 ya maisha yake, swali je, atafanikiwa kuongeza kombe jingine hapo keshokutwa. Barcelona inashuka dimbani mjini Berlin, Ujerumani kucheza fainaliya Ligi ya Mabingwa Ulayadhidi ya Juventus ya Italia.Utaona...

TFFyaingilia kati mgogoro wa Simba SC na Singano 'Messi'

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za mgogoro wa kimkataba kati ya mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’(pichani)na klabu yake,Simba SC. Taarifa ya TFF imeagiza mwakilishi wa klabu ya Simba pamoja na mchezaji wa Simba wafike ofisi za TFF siku ya Jumanne Juin...

BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Jumamosi,Juni 06

  MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali.Hapa utasoma kurasa za magazeti...

Friday, 5 June 2015

Tetesi zote za Usajili barani Ulaya siku ya leo.

Winga wa England Raheem Sterling, 20 hana tatizo na uwezekano wa kuhamia Manchester United kutoka Liverpool, ingawa mchezaji huyo ana wasiwasi kuhusu jinsi uhamisho huo utakavyopokelewa, kwa kuzingatia uhasama baina ya timu hizo mbili (Guardian), Liverpool wanasisitiza kuwa hawatofanya biashara yoyote...

Golden State Warriors yaishangaza Cleveland Cavaliers fainali ya kwanza NBA.

LeBron James alifunga pointi 44 lakini hazikutosha kuzuia Cleveland Cavaliers kupoteza dhidi ya Golden State Warriors 108-100 katika mchezo wa mwanzo wa fainali za NBA siku ya Alhamis. Warriors waliweza kurejesha pointi 14 na kupata ushindi katika muda wa nyongeza, ingawa James angeweza kushinda katika...

Everton yamnasa Tom Cleverley.

Everton watamsajili Tom Cleverley kwa mkataba wa miaka mitano wakati mkataba wake na Manchester United utakapomalizika Julai 1. Mchezaji huyo wa kimataifa wa England atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa msimu huu na meneja Roberto Martinez. Cleverley alicheza mechi 38 za Ligi Kuu ya England, mechi...

Nikki Mbishi ajibizana na Nikki wa Pili katika mtandao wa kijamii.

Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi...

Google yamuorodhesha Waziri Mkuu wa India kama muhalifu kimakosa.

Kampuni ya mtandao wa Google imeomba radhi baada ya picha za waziri mkuu wa India Narendra Modi kuonekana katika picha za watu kumi wahalifu. ''Tunaomba radhi kwa kuchanganyikiwa na kutoelewana ambako kumesababishwa na picha hizo'',taarifa iliotoka kwa kampuni hiyo ilisema.   Viongozi wengine...