Facebook

Wednesday 3 June 2015

Mbatia-Ukawa hatupokei makapi kutoka CCM.

Mwenyekiti Mweza wa Ukawa James Mbatia amesema wamefungua
milango kwa makada wa CCM ambao wanataka kujiunga na UKAWA,
awataka kufanya maamuzi sasa na kwamba wakifunga milango
hawatapokea.
"Hata kwa makada wa CCM, ambao wanaotaka kujiunga na Ukawa
waje sasa wasisubiri wakishachujwa wakawa makapi, sisi hatuwezi
kupokea makapi yaliyochujwa huko waje sasa tupange pamoja,"
Kwa mtazamo wako unadhani kiongozi gani atatoswa CCM na kuwa
kapi?

0 comments:

Post a Comment