Facebook

Thursday 4 June 2015

Man City yamuwekea dau Alex Song

Manchester City imeonyesha nia ya kupata huduma ya mchezaji wa Barca Alex Song ambaye msimu huu alikuwa akicheza kwa mkopo timu ya Westham inayoshiriki.Alex aliyerudi nyumbani Barcelona anaweza kuuuzwa jumla na kujiunga na vijana wa Etihad kwa msimu mpya.

0 comments:

Post a Comment