Facebook

Thursday 4 June 2015

Chiellin nje fainali Ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya Barcelona.


Juventus hawatakuwa na beki wao Giorgio Chiellini katika mchezo wa fainali ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Barcelona siku ya Jumamosi.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia amechana msuli wa mguu katika mazoezi na hatocheza Berlin.
Hii inamaanisha Chiellini hatokutana na Luis Suarez - ambaye unakumbuka kulikuwa na mtafaruku kati yao walipokuwa katika Kombe la Dunia...

0 comments:

Post a Comment