Facebook

Thursday 4 June 2015

Mbeya City yazidi kubomolewa

 George Mganga's photo.
Mara baada ya Peter Mwalyanzi pamoja na Deus Kaseke kuondoka katika timu hiyo baada ya kusajiliwa na vilabu vya Simba na Yanga leo tena wameondoka wengine.
Pichani hapo ni Paul Nongwa na Anthony Matogolo leo wamejiunga na Mwadui Fc mara baada ya kusaini mkataba na timu hiyo.

Source:@officialmbeyacityfc

0 comments:

Post a Comment