Facebook

Wednesday 3 June 2015

Schneiderlin kutua Man United kwa ada ya Euro milioni 25

Manchester United imevutiwa na kutaka kumsaini mchezaji kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin..Kiungo huyo wa miaka 25 ni mmoja wa viungo waliocheza vizuri msimu uliomalizika wa Premier League.Timu ya Arsenal na Tottenham zimeonyesha nia ya kupata huduma ya kiungo huyo lakini dulu za kimichezo zinatoa nafasi kwa united kumpeleka Old Trafford.
Southampton wamesema thamani ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa ni Euro milioni 25.

0 comments:

Post a Comment