Facebook

Wednesday 3 June 2015

Van Persie hatihati kusalia Man United


Mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie amekubali kuondolewa Old Trafford baada ya kupitia magumu msimu huu.Mshambuliaji wa Manchester United ana mwaka mmoja tu wa kumaliza mkataba wake wa sasa.Van Persie ana matumaini ya kuendelea kucheza kwa miaka michache ijayo.
 

Je! Mdachi huyu amefikia kiwango chake cha mwisho cha ubora Old Trafford.Acha comment yako hapa chini.

0 comments:

Post a Comment