Facebook

Wednesday 3 June 2015

Madrid wafungua mazungumzo na Raheem Sterling.

Real Madrid imefungua mazungumzo ya kumnyaka mchezaji Raheem Sterling kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 45.Mchezaji huyo machachali anataka kuondoka Liverpool na matajiri wa Hispania wapo tayari kukamilisha mpango wa kumpeleka La Liga kukipiga.
kwa kiwango cha Sterling anastahili kuvaa jezi za Madrid?

0 comments:

Post a Comment