Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na ikabidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia "Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila usipotoshe tena kwa kutumia kivuli cha Hip Hop ili hali tunafahamu wewe ni mfanya biashara That’s not Hip Hop ,That’s something else
Friday, 5 June 2015
Nikki Mbishi ajibizana na Nikki wa Pili katika mtandao wa kijamii.
Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na ikabidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia "Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila usipotoshe tena kwa kutumia kivuli cha Hip Hop ili hali tunafahamu wewe ni mfanya biashara That’s not Hip Hop ,That’s something else
Related Posts:
Mtangazaji nguli wa BBC SWAHILI,Charles Hillary ajiunga na kituo cha AzamTvKatika kile kinachoitwa mageuzi ya tasnia ya habari nchini.Kituo bora cha AzamTv kimefanikiwa kumnasa mtangazaji nguli wa Kituo cha BBC SWAHILI,Charles Hillary. Tunasubiri makubwa kutoka AzamTv kutokana na utawala bora walion… Read More
Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku.Bunge la Ufaransa limeidhinisha sheria inayopiga marufuku tabia ya makampuni ya wanamitindo nchini humo kutumia wasichana waonesha mitindo walio wembamba kupita kiasi. Sasa itabidi wanamitindo wembamba kuonyesha kuwa wanauzit… Read More
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU,APRIL 13 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa ka… Read More
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA KURASA ZA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAPILI,APRIL 12 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA KURASA ZA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI APRIL 11 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
0 comments:
Post a Comment